UVCCM
Ardhi University
Mkutano Mkuu wa Vijana wa CCM – Ardhi 2024

Tawi la UVCCM Ardhi University linawaalika wanachama wote kushiriki katika Mkutano Mkuu wa mwaka ambao utafanyika tarehe 20 Aprili 2024 katika Ukumbi Mkuu wa Chuo.

Mkutano huu utazungumzia mafanikio ya tawi kwa mwaka uliopita, mipango ya mwaka ujao, na uchaguzi wa viongozi wapya wa baadhi ya nafasi.

Wanachama wanaombwa wafike mapema. Karibuni nyote!

Back to News