Je, tunaweza kuwa na kikao cha kujadili masuala ya wanafunzi wa kwanza?
B
Baraka Msonga
General
10 May 2026, 08:30
Napendekeza tufanye mkutano maalum kwa wanafunzi wa mwaka wa kwanza ili tuwasaidie kujua zaidi kuhusu UVCCM na jinsi ya kushiriki. Maoni yenu?
47 views
0 replies